Taifa la Kenya laungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya kuzuia kujitoa uhai

  • | K24 Video
    26 views

    Taifa la Kenya likijiungana ulimwengu kuadhimisha siku ya kuzuia kujitoa uhai, hitaji la kuipatia jamii maarifa kwa nia ya kutokomeza unyanyapaa lipo. Shirika la afya duniani linakadiria kuwa watu 408 hufa kwa kujitoa uhai kila mwaka nchini kenya, ingawa huenda idadi hiyo ni ndogo kushinda hali halisi.