Taifa la Somaliland laadhimisha miaka 33 ya uhuru

  • | Citizen TV
    593 views

    Jamuhuri ya Somaliland inaadhimisha miaka 33 tangu kujitenga na mungano wa taifa la somalia mwaka 1991. maadhimisho hayo jijini Hargeisa yaliongozwa na Rais Musa Bihi huku majeshi ya nchi hiyo yakifanya maonyesho ya kuwatumbuiza waliyohudhuria hafla hiyo. mwanahabari wetu Feisal Abdirahman alihudhuria hafla hiyo jijini Hargeisa na kutuandalia taarifa ifuatayo