Taifa Stars na Harambee Stars watatoboa?

  • | BBC Swahili
    560 views
    Leo, Kenya na Tanzania wanacheza mechi zao za robo fainali ya CHAN 2024. Matumaini ya mashabiki wa mataifa hayo mawili yako juu sana, kila mmoja akipigia upatu timu yake. Lakini je, Taifa Stars na Harambee Stars watatoboa? Na michuano hii ya CHAN imetufunza kipi kuhusu kandanda Afrika Mashariki? @RoncliffeOdit atachambua hilo kwa kina katika Dira ya Dunia TV kwenye ukurasa wetu wa YouTube BBC Swahili. #bbcswahili #tanzania #kenya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw