Taita Taveta: Wananchi waraiwa kuwekeza kwenye mtambo wa chuma wa Devki

  • | NTV Video
    210 views

    Katika eneo la Manga, Taita Taveta, wananchi wameraiwa kuja na kuwekeza kwenye kipande cha ardhi kilichopakana na mtambo wa chuma wa Devki unaojengwa eneo hilo, ili kuendeleza eneo hilo na kutengeneza ajira kwa wenyeji.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya