Takriban nusu ya wakenya wanaunga mkono mazungumzo ya Bomas kati ya serikali na upinzani.

  • | K24 Video
    29 views

    Takriban nusu ya wakenya wanaunga mkono kwa dhati mazungumzo ya Bomas kati ya serikali na upinzani. kulingana na kura ya maoni ya kampuni ya tifa, asilimia 46 ya wakenya wanaamini kuwa serikali itatimiza yatakayoafikiwa katika mazungumzo hayo huku asilimia 45 ya wakenya wakiunga mkono kubuniwa kwa afisi ya upinzani. Idadi ya wakenya waliokata tamaa katika kujihusisha na siasa za vyama imeongezeka mara tatu.