Takriban waathiriwa elfu-3 wa mafuriko Kibra wapokea msaada wa chakula

  • | KBC Video
    9 views

    Takriban watu elfu-3 walioathiriwa na mafuriko katika eneo bunge la Kibera, kaunti ya Nairobi wamenufaika na msaada wa chakula uliotolewa na mpango wa mama taifa Rachael Ruto wa Mama Doing Good kwa ushirikiano na wahisani wengine. Wakati wa utoaji msaada huo, mama taifa aliwahakikishia waathiriwa hao kuhusu msaada wa serikali wa chakula na bidhaa zingine katika kipindi hiki. Wizara ya usalama wa taifa imesema familia 30,099 zimeachwa bila makao kufuatia mafuriko.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive