Takriban watu laki nane DRC wanaishi katika kambi za wakimbizi

  • | VOA Swahili
    153 views
    Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, kuna kiasi cha watu laki nane ambao wanaishi katika kambi za wakimbizi karibu na mji wa Goma. Maafisa wa afya wanaofanya kazi hapo wanasema wengi wao wanaathiriwa na masuala ya afya ya akili. Kundi la Madaktari wasio na Mipaka MSF wanafanya kile wanachoweza kusaidia. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.