Talanta za watu walio na ulemavu zatambuliwa, Busia

  • | KBC Video
    41 views

    Wazazi katika kaunti ya Busia wamehimizwa kukuza vipaji vya watoto wao walio na ulemavu ili wasijihisi wametengwa na jamii. Wakizungumza wakati wa ufunguzi wa michezo ya walemavu ya shule za upili katika eneo la Magharibi inayofanyika kwenye shule ya upili ya Akoreet kaunti ya Busia, mwakilishi Wadi ya Amukura Magharibi Bonface Erute aliwataka wazazi kuwapa fursa sawa watoto walio na ulemavu ili kutambua talanta zao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive