Tamaduni ya Shakahola katika kaunti yaKilifi

  • | Citizen TV
    533 views

    Japo Iligonga Vichwa Vya Habari Kwa Matukio Ya Kutisha, Msitu Wa Shakahola Na Maeneo Yaliyo Karibu Ni Sehemu Ambayo Jamii Ya Wamijikenda Wanaithamini Sana.Hii Ni Kutokana Na Kuwa Ndio Eneo Ambalo Shujaa Wa Mijikenda Mekatilili Wa Menza Alimzaba Kofi Mzungu Aliyejulikana Arthur Champion Walipokuwa Wakipigana Vita Dhidi Ya Mkoloni. Ni Haya Ndipo Kila Mwaka Jamii Ya Wamijikenda Hujumika Kwa Maadhimisho Katika Sehemu Hiyo, Kama Francis Mtalaki Anavyotuarifu.