- 246 viewsVisiwa vya Ushelisheli kwenye pwani ya Afrika ni mchanganyiko wa tamaduni mbali mbali. Wakazi wa muda mrefu ni pamoja na wale wenye asili ya China. Lakini uwekezaji wa Beijing wa kimkakati ulioko nchini humo uwavutia wale wapya wanaowasili kutoka China wakitaka kufanya biashara na kisiwa hicho. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Tamaduni za Ushelisheli zinavyowavutia Wachina | VOA Swahili
- 8 Jul 2025 - Deputy President Kithure Kindiki has said the government is enhancing partnerships with global technology companies to create more job opportunities for the youth.
- 8 Jul 2025 - The government has launched a fresh crackdown targeting foreign nationals from Burundi, Rwanda, the Democratic Republic of Congo (DRC), and Uganda’s Wagisu community residing in West Pokot County, over suspected involvement in cannibalism and human organ…
- 8 Jul 2025 - 36 suspects were arraigned on Tuesday at the Eldoret law court with charges of being in possession of weapons in public contrary to section 88 of the penal code.
- - DPP approves terrorism charges against Kawanjiru, Thiga, 35 others over June 25 chaos
- 8 Jul 2025 - The Cabinet Secretary for Health, Aden Duale, has vowed to end the practice of bed-sharing among patients in public health facilities to promote quality healthcare across the country.
- 8 Jul 2025 - Prime Cabinet Secretary Musalia Mudavadi on Tuesday, July 8, 2025, held a closed-door meeting with Central Organisation of Trade Unions (COTU) Secretary General Francis Atwoli. The meeting, which took place at Mudavadi’s office, focused on key national…
- 8 Jul 2025 - A sombre mood engulfed Ndumberi village in Kiambu County on Monday, July 7, after it emerged that 12-year-old
- 8 Jul 2025 - Kenya Simbas overcame a determined Uganda Rugby Cranes side with a 32-24 victory in the Rugby Africa Cup quarterfinals, booking their spot in the semifinals of the continental tournament. The fierce East African derby lived up to expectations as both…
- 8 Jul 2025 - Kenya’s athletics queens, Faith Kipyegon and Beatrice Chebet, have each received Ksh5 million from the government after their historic world record-breaking performances at the Prefontaine Classic in Eugene, Oregon. The Ministry of Youth Affairs,…
- 8 Jul 2025 - Former Nyeri Town MP Ngunjiri Wambugu has continued his criticism of former Deputy President Rigathi Gachagua, this time questioning his silence on the jailing of former Kiambu Governor Ferdinand Waititu. In a statement shared on Tuesday, July 8, 2025,…