Tamara Blessing azikwa huku familia na jamii wakiendelea kulilia haki

  • | NTV Video
    985 views

    Maswali mengi yanaendelea kutanda juu ya mazingira ya kusikitisha yaliyopelekea kifo cha Tamara Blessing mwenye umri wa miaka saba, aliyepumzishwa leo katika kaunti ya Laikipia huku familia na jamii wakiendelea kulilia haki.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya