Skip to main content
Skip to main content

Tamasha la muziki la Kitaifa , laingia siku ya nne katika kaunti ya Bungoma

  • | Citizen TV
    395 views
    Duration: 1:03
    Tamasha la Muziki la Kitaifa linaloendelea katika Chuo Kikuu cha Kibabii, kaunti ya Bungoma, limeingia siku ya nne huku ushindani mkali ukishuhudiwa kati ya wanafunzi wa shule mbalimbali.