Tamasha la muziki lililojaa mimea na wala sio binadamu

  • | BBC Swahili
    Mimea ilijaza viti kwenye tamasha la kufungua ukumbi wa burudani la muziki wa Opera. Mimea hiyo 2292 ilijazwa kwenye ukumbi huo kusherehekea kufunguliwa kwake kwa mara ya kwanza baada ya kufungwa kutokana na janga la virusi vya corona. #corona #opera #muziki