Tamasha ya Kitamaduni ya Kijeshi I Serikali kutenga rasilmali za kutosha kukuza tamaduni

  • | KBC Video
    49 views

    Serikali inapania kutenga rasilmali za kutosha katika juhudi za kukuza na kuhifadhi tamaduni za jamii mbali mbali nchini . Akiongea katika tamasha ya kitamaduni ya kijeshi iliyofanyika katika chuo cha mafunzo ya kijeshi eneo la Karen , Katibu katika wizara ya utumishi wa umma Amos Gathecha amesema kuwa kupitia kukuza mila na tamaduni za jamii mbali mbali Kenya ina nafasi nzuri ya kuzalisha mapato zaidi kwa njia ya utalii. Mataifa ishirini na matano yalishiriki tamasha hiyo iliyofana zaidi. Timothy Kipnusu anaarifu

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive