Tamasha ya Ngemi

  • | Citizen TV
    498 views

    Tamasha ya kitamaduni iliyokuwa imesubiriwa kwa hamu kubwa ya Ngemi 4.0, ilikamilika hapo jana katika uwanja wa Kedong, mjini Naivasha kaunti ya Nakuru.