22 Aug 2025 1:50 pm | Citizen TV 244 views Duration: 1:56 Tamasha ya pili ya Bahari afrika mashariki imezimduliwa huko Mombasa. Ni hafla ambayo inatazamiwa kuinua sekta ya utalii kupitia mashimdano tofauti baharini pamoja na utunzaji wa mazingira katika fuo za bahari.