Tamasha ya utamaduni wa waganda yaandaliwa huko Kilfi

  • | Citizen TV
    82 views

    Washikadau katika sekta ya utalii kutoka nchi ya Uganda na Kenya, waliiandaa hafla ya utamaduni la mila za waganda mjini Malindi, Kaunti ya Kilifi.