Tamasha za kitamaduni ya 'Sintagh' yaandaliwa Pokot

  • | KBC Video
    38 views

    Mamia ya watu wa jamii ya Pokot walimiminika kwenye madhabahu ya Muino katika eneo la Pokot ya Kati kusherehekea tamasha ya kila mwaka ya kitamaduni ya 'Sintagh'. Tamasha ya Sintagh huadhimishwa kila mwaka mwezi Juni ili kuombea mvua na kuashiria kukamilika kwa msimu wa upanzi. Wakati wa tamasha hiyo ya wiki nzima, sala na matambiko ya kuwaridhisha mababu hufanywa. Watoto hawaruhusiwi kuhudhuria sherehe hiyo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive