Tamasha za kitamaduni zarejea Lamu

  • | KBC Video
    16 views

    Baada ya kusimamishwa kwa miaka mitatu kufuatia mchipuko wa janga la ugonjwa wa COVID-19 , tamasha za kitamaduni za Lamu zimerajea, ambapo kutaandaliwa hafla kama vile mashindano ya mbio za punda na maonyesho ya shughuli za kitamaduni ili kudumisha amani. Gavana wa Lamu Issa Timamy anasema tamasha hiyo ni miongoni mwa shughuli zilizoratibiwa ili kuimarisha utalii huku kaunti hiyo ikirejea katika hali ya kawaida baada ya matatizo yaliyoletwa na janga hilo kuathiri pakubwa mapato yake.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #tamashazakitamadumi #News #amani #Lamu