Tangazo la ponografia 'linalowalenga' watoto lazua gumzo New Zealand

  • | BBC Swahili
    Tangazo la umma nchini New Zealand linaonya kuwa watoto wamekuwa wakijifunza masuala ya ngono kupitia ponografia, hali ambayo sio nzuri. Tangazo hilo ambalo limekuwa maarufu, linajumuisha ''waigizaji filamu wa ngono'' wawili ambao walijitokeza nyumbani kwa mvulana mmoja aliyekuwa akiwatazama. #Watoto #Ponografia #NewZealand