Tanzania Aspirations yatoa filamu fupi tatu kutokomeza unyanyasaji

  • | VOA Swahili
    146 views
    Kwa mujibu wa mwanzilishi wa taasisi ya Tanzania Aspiration nchini Tanzania inayozalisha maudhui kwa njia ya vikaragosi wamefanikiwa kutoa filamu fupi tatu ambazo zitaendelea kuisaidia jamii kutokomeza unyanyasaji mbalimbali katika jamii. Ungana na mwandishi wetu huko Dar es Salaam akikuletea repoti kamili... - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.