Tanzania: 'Hakuna njama ya kumdhuru Lissu'
Serikali ya Tanzania imewaomba raia kupuuza taarifa za chama cha upinzani CHADEMA kwamba kuna mpango wa kumuwekea sumu kiongozi wa chama hicho aliye gerezani Tundu Lissu.
Awali msemaji wa CHADEMA Brenda Rupia alitoa taarifa na kumnukuu David MacAllister ambaye ni mbunge katika bunge la bara Ulaya akisema ana wasiwasi kuwa kuna jaribio la kumtilia sumu Lissu.
Je, ukweli uko wapi?
@RoncliffeOdit anachambua suala hili kwa kina katika Dira ya Dunia TV leo usiku kwenye ukurasa wa YouTube BBC Swahili.
#bbcswahili #tanzania #dirayadunia
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
3 Jul 2025
- Ndiangui resurfaced today morning after 13 days.
3 Jul 2025
- Legal proceedings initiated to recover the prime land.
3 Jul 2025
- The principals did not have the required details.
4 Jul 2025
- South Africa's former deputy president David Mabuza has died aged 64, the country's public broadcaster reported on Thursday.
4 Jul 2025
- Farmers to get record payment, says Coop boss
4 Jul 2025
- Passaris's 'big, beautiful' Bill that gives goons a free pass in the city
4 Jul 2025
- Knec unveils new training centre to demystify exams
4 Jul 2025
- We will speak in one voice in 2027 polls-opposition
4 Jul 2025
- Teacher unions demand hefty pay rise, new perks
4 Jul 2025
- Matiang'i can give Kenya an Abraham Lincoln moment
4 Jul 2025
- AfDB says Kenya's tax regime lenient to the wealthy
4 Jul 2025
- Civil rights activist seeks term limit for MPs and ward reps
4 Jul 2025
- Police station set on fire as Ojwang' returns in coffin