Tanzania: Kamala Harris kuangazia uwezeshwaji wa wanawake katika masuala ya uchumi

  • | VOA Swahili
    4,213 views
    Makamu wa Rais wa Marekani Kamala Harris anawasili Tanzania akitarajiwa kati ya masuala mengine kuangazia uwezeshwaji wa wanawake katika masuala ya uchumi. #makamuwarais #marekani #kamalaharris #tanzania #rais #samiasuluhuhassan #voa #voaswahili #dunianileo Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.