Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuchimba na kufanya biashara ya makaa ya mawe kutokana faida za kiuchumi kwa taifa hilo, licha ya bidhaa hiyo kuhusishwa na uchafuzi wa mazingira na mabadiliko ya tabia nchi.
Baadhi ya mataifa barani Ulaya yanaachana na matumizi ya makaa ya mawe hususani katika kuzalisha umeme.
Kauli hiyo imetolewa na Naibu Waziri Mkuu na waziri wa Nishati, Doto Biteko katika mahojiano maalumu na mwandishi wa BBC Florian Kaijage, ambapo miongoni mwa mambo mengine aliyoyazungumzia ni pamoja usambazaji wa gesi majumbani, bei ya mafuta ya petroli na dizeli, kuwepo kwa umeme wa kutosha na masuala ya uongozi kwa ujumla.
#bbcswahili #nishati #gesi
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
20 Jul 2025
- National Assembly Speaker Moses Wetang’ula has called on politicians to refrain from making statements he says could compromise the operations of the newly reconstituted Independent Electoral and Boundaries Commission (IEBC).
20 Jul 2025
- President William Ruto has called on parents to take greater responsibility for the upbringing of their children, warning that neither the government nor institutions like the church can replace the role of parenting.
20 Jul 2025
- Wiper Party leader Kalonzo Musyoka on Saturday rejected claims that he could be joining President William Ruto’s government, which he calls “rogue and criminal”.
20 Jul 2025
- Public Service Cabinet Secretary Geoffrey Ruku has assured Kenyans that President William Ruto has no intention of rigging the 2027 General Election, insisting he will win fairly and squarely at the ballot. Speaking after attending Mass at Regina Caeli…