Tanzania kupata 60% ya faida ya mafuta ya Uganda zaidi katika AMKA NA BBC JUMATATU 14/09/2020

  • | BBC Swahili
    Miongoni mwa habari tulizozipa kipaombele..... Tanzania na Uganda zimesaini makubaliano ya ujenzi wa mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda hadi bandari ya Tanga Tanzania, lenye urefu wa kilomita 1,445. Polisi nchini Rwanda imetangaza azma ya kuwaweka kizuizini Polisi wanaotuhumiwa kuwauwa raia wasiokuwa na silaha kiholela matukio yaliyo jitokeza wakati huu wa janga la virusi vya Corona. Na Katika gumzo hii leo tunaangazia mwendelezo wa Kampeni za kisiasa visiwani Zanzibar na nguvu ya vyama Ungana na Leonard Mubali na David Nkya akiwa viwanjani. #AMKANABBC #BOMBALAMAFUTA #MKATABAWAUGANDANATANZANIA