- 71 viewsOnesmo Olengurumwa ambaye ni Mratibu wa Kitaifa wa Muungano wa watetezi wa haki za binadamu nchini Tanzania akiwa jijini New York, Marekani, kushiriki katika kuangazia muelekeo wa Haki za Binadamu kufikia Malengo ya Maendeleo ya Milenia. Ungana naye kupata maelezo kamili ... Olengurumwa alizungumza na mwandishi wa Sauti ya Amerika, Idd Ligongo ambaye yuko New York kufuatilia mkutano wa 78 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa ambao umeanza tarehe Septemba 19, 2023. #viongozi #mkutano #lengo #maendeleoendelevu #UN #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Tanzania: Mratibu wa Kitaifa wa haki za binadamu aeleza hatari za kupoteza umoja wa kitaifa
- 14 Jul 2025 - The family of Wajir Huduma Centre boss and Assistant County Commissioner, Hussein Abdirahman Mohamed, has filed an urgent habeas corpus application in court, seeking state accountability over his mysterious disappearance.
- 14 Jul 2025 - President William Ruto has joined a list of leaders who have condoled with the Federal Republic of Nigeria following the demise of their former Head of State Muhammadu Buhari. Buhari passed away on Sunday evening at the age of 82, after a prolonged…
- 14 Jul 2025 - Former Interior Cabinet Secretary Dr. Fred Matiang’i has maintained that he has no political scores to settle as he seeks to clinch the presidency in the 2027 General Election.
- 14 Jul 2025 - Former Deputy President Rigathi Gachagua has dismissed claims by President William Ruto loyalists that that he is seeking to overthrow government using unconstitutional means.
- 14 Jul 2025 - Alego Usonga MP Sam Atandi has advised activist and presidential aspirant Morara Kebaso to visit Raila Odinga for
- 14 Jul 2025 - Wiper Party leader Kalonzo Musyoka has declined an invitation to attend the 2025 Mashujaa Day (Heroes Day) celebrations
- 14 Jul 2025 - Prime Cabinet Secretary and Foreign Affairs Cabinet Secretary Musalia Mudavadi expressed deep condolences following the passing of former
- 14 Jul 2025 - The U.S. Federal Aviation Administration and Boeing (BA.N) have privately issued notifications that the fuel switch locks on Boeing planes are safe, a document seen by Reuters showed and four sources with knowledge of the matter said.
- 14 Jul 2025 - There were speculations on his return to office on Monday.
- 14 Jul 2025 - The woman allegedly ingested six capsules containing the narcotics