Tanzania: Mwanasiasa Tundu Lissu arejea nchini, awahutubia wananchi

  • | VOA Swahili
    483 views
    Makamu wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) amewasili nchini Tanzania Jumatano na kuelekea uwanjani huko wilayani Temeke ambako amepata nafasi ya kuwahutubia wanachama, wafuasi wake na Watanzania. Ungana na mwandishi wetu akikuletea taarifa kamili juu ya mapokezi yake na yale aliyoyaeleza katika hotuba yake kwa taifa. Endelea kumsikiliza.... #makamumwenyekiti #chadema #tanzania #siasa #tundulissu #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.