Tanzania yahimiza matumizi ya gesi ya asili katika magari

  • | VOA Swahili
    75 views
    Serikali ya Tanzania inawahimiza madereva kubadili kuweka petrol kwenye magari yao na badala yake kutumia gesi asili. Mpango huo unalenga kupunguza hewa chafu ya Carbon ambayo inasababisha ongezeko la joto duniani. Madereva wanatumai kuwa baada ya muda fulani wataweza kuifadhi pesa kwa kutumia gesi asili, kama anavyoripoti Charles Kombe kutoka Dar Es Salaam. #VOASwahili #serikali #tanzania #madereva #petroli #gesiasilia #voa #dunianileo Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.