Tanzania yajibu ufichuzi wa BBC kuhusu watoto wanaopelekwa Kenya kuomba

  • | BBC Swahili
    700 views
    Serikali ya Tanzania imekiri kuwepo kwa baadhi ya watu wanaofanya biashara haramu ya ulanguzi wa binadamu kwa kuwasafirisha watoto wenye ulemavu na kisha kuwatumikisha kwenye shughuli mbalimbali ikiwemo 'ombaomba'. Alexander Lupilya ndiye Mkuu wa Utafiti na Takwimu katika Sekretarieti ya Kuzuia Usafirishaji Haramu wa Binadamu Tanzania #bbcswahili #bbcafricaeye #watoto