Tanzania yaomboleza kifo cha rais Ali Hassan Mwinyi

  • | VOA Swahili
    648 views
    Uthubutu wa kuchukua maamuzi magumu nyakati za hali ngumu ni miongoni mwa kumbukumbu nyingi atakazokumbukwa nazo aliyewahi kuwa Rais wa Tanzania Hayati Ali Hassan Mwinyi, Wananchi na viongozi wa Taifa hilo wanamuelezea kiongozi huyo kama ishara ya uthubutu jambo ambalo linaalezwa kuwashinda wengi #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.