Tanzania yatishia kupiga marufuku mazao kutoka Malawi na Afrika Kusini

  • | BBC Swahili
    67,632 views
    Serikali ya Tanzania imetishia kupiga marufuku mazao ya kilimo kutoka Malawi na Afrika Kusini. Mzozo huu wa kibiashara katika jumuiya ya SADC unatishia kusimamisha shughuli muhimu kwa wafanyabiashara na wakulima. Je Rais Samia Suluhu atapata suluhisho? @RoncliffeOdit anachambua hilo kwa kina katika Dira ya Dunia TV kwenye ukurasa wetu wa YouTube BBC Swahili. #bbcswahili #diratv #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw