7 Sep 2025 7:41 pm | Citizen TV 839 views Duration: 1:13 Aliyekuwa mbunge wa rongo na pia waziri katika wizara mbali mbali, Dalmas Otieno, amefariki nyumbani kwake jijini Nairobi.