Skip to main content
Skip to main content

Taratibu za mazishi zinazoandamana na jamii ya waluo

  • | Citizen TV
    37,725 views
    Duration: 6:36
    Licha ya kuwa mazishi ya hayati Raila Odinga kuwa ya kitaifa, safari yake ya mwisho ilisheheni mbwembwe na taratibu zinazoandamana na jamii ya waluo. Kuanzia kutangazwa kwa kifo chake, kutambuliwa kwa mahali ambako kaburi lake linachimbwa, maombolezo, kunadhifishwa na kwa nyumba ya marehemu baadaye. Jamii ya WaLuo ina njia yake ya kipekee ya kutoa heshima za mwisho kwa wapendwa wao wanapoaga dunia. Taratibu hizo za kitamaduni zimeheshimiwa kwenye safari ya mwisho ya Raila Odinga, aliyekuwa na haiba kuu na mzee wa jamii hiyo, kando na kuwa kigogo aliyetambulika na kuenziwa katika ukanda wa Nyanza.