Tasisi ya wahandisi nchini imeitaka serikali kushugulikia malimbikizi ya fedha iliyosalia

  • | NTV Video
    254 views

    Tasisi ya wahandisi nchini imeitaka serikali kushugulikia malimbikizi ya fedha iliyosalia kufadhili shuguli za tasisi hiyo. Kulingana na rais wa Tasisi hiyo Shammah Kiteme ukosefu wa kufadhili wa kutosha utalemaza huduma mhimu kwa wakenya ikiwemo ukosefu wa ajira wa vijana.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya