Taswira ya Hospitali Kapkatet

  • | Citizen TV
    155 views

    Seneta wa Kericho Aaron Cheruiyot amelalamikia Hali duni ya hospitali ya Kaunti ndogo ya Kapkatet. Hii ni baada ya mashine tano muhimu za kufanyia upasuaji kuharibika jambo ambalo limetatiza utoaji huduma kwa muda wa wiki Moja.