Tatizo la dawa kukosekana katika hospitali huenda likasuluhishwa hivi karibuni

  • | K24 Video
    102 views

    Tatizo la dawa kukosekana katika hospitali huenda likasuluhishwa hivi karibuni hasa katika kaunti ya Kiambu, kufuatia ujenzi wa kituo maalum cha kuhifadhi dawa na vifaa vya afya. Haya yanajiri siku chache tu baada ya afisa mkuu mtendaji wa KEMSA Terry Ramadhani kutaja kuwa mfumo huu utahakikisha kaunti zinapata dawa zinazohitajika na kwa muda unaofaa.