Tatizo la kupasuka mdomo na athari zake kwa watoto wachanga

  • | VOA Swahili
    99 views
    Wazazi wengi Afrika hukataa kuidhinisha upasuaji wa kurekebisha tatizo la kupasuka mdomo lakini matatizo aliyoshuhudia mzazi wa Gift, Martina yalimfanya kukubali matibabu hayo. Ungana na mwandishi wetu wa Mombasa akikuletea ripoti kamili ya operesheni zilizofanywa kwa watoto 12,500 kwa hisani ya taasisi zilizotoa huduma hii Smile Train na Kids Operation Room mjini Mombasa, Kenya. Endelea kusikiliza.. #wazazi #afrika #upasuaji #kuidhinisha #tatizo #kupasukamdomo #mombasa #kenya #martinkamau #daktari #smiletrain #kidsoperationroom #voa #voaswahili