Tatizo la wanawake kufariki wanapojifungua barani Afrika liliangaziwa pakubwa wakati wa kikao cha 39 cha kawaida cha kongamano la wakuu wa mataifa na serikali la baraza la Muungano wa Afrika jijini Addis Ababa, Ethiopia. Rais William Ruto akihutubia baraza hilo alisema haifai kwa wanawake kuendelea kupoteza maisha wanapojifungua, akisisitiza kwamba kulindwa kwa maisha ya wanawake na watoto ni jukumu ambalo lazima lidumishwe kikamilifu. Mwanahabari wetu Abdiaziz Hashim atuarifu zaidi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive