Tawi la AFC Leopards

  • | Citizen TV
    265 views

    Kwa mwaka wa pili mfululizo mashabiki wa timu ya AFC Leopards tawi la u45 wataandaa warsha ya tuzo na utamaduni kwenye msimu uliokamilika. Warsha hiyo itafanyika katika uwanja wa masinde muliro kaunti ya bungoma julai july 21 hadi 26