Tawi la Bungoma la KUPPET umetoa ilani ya kugoma ikiwa srikali haitatimiza matakwa yao

  • | NTV Video
    55 views

    Muungano wa walimu wa shule sekondari - KUPPET tawi la Bungoma umetoa ilani ya mgomo siku ya jumatatu ikiwa serikali haitatimiza matakwa yao kama vile nyongeza ya mishahara na kuwaajiri walimu zaidi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya