Tazama jinsi helikopta mbili zilivyogongana na kuua watu 10

  • | BBC Swahili
    2,607 views
    Tazama Video inayoonesha helikopta mbili za jeshi la wanamaji zilivyogongana angani wakati wa mazoezi ya gwaride la kijeshi nchini Malaysia. Watu kumi wamefariki dunia baada ya ajali hiyo. #bbcswahili #malaysia #ajaliyandege Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw