Tazama jinsi mtoto alivyokwama katika mashine ya bahati nasibu

  • | BBC Swahili
    5,746 views
    Mtoto huyo alikamatwa ndani ya mashine inayotoa zawadi ya wanyama wa plastiki huko Midoli katika jimbo la Ohio Marekani, baada ya kujaribu kupanda ndani kupitia mlango wa zawadi. Polisi na idara ya zima moto ya Mason walipigiwa simu na kufanikiwa kumwokoa mtoto kupitia sehemu ya nyuma ya mashine, na kurudisha amani kwa wazazi wake bila majeraha yoyote. #bbcswahili #mdoli #foryou #bahatinasibu #watoto Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw