Tazama maajabu ya teknolojia kwenye kilimo

  • | BBC Swahili
    665 views
    Baadhi ya wakulima Rwanda wanatumia simu kumwagilia maji shambani bila wao kuwepo. Mwandishi wa BBC Yve Bucyana na taarifa zaidi #bbcswahili #umwagiliaji #maji #rwanda #kilimo #teknolojia