Tazama namna mwanaume huyu alivyonusurika kukatwa na msumeno

  • | BBC Swahili
    1,192 views
    Kamera za usalama zilinasa tukio la mtu mmoja aliyenusurika hatari baada ya msumeno wa kukata zege kuruka kutoka kulipokuwa na maegesho ya magari na kujikita katika jengo alilokuwa ameingia sekunde chache. Mwanamume huyo aliingia katika duka la bidhaa huko Eugene, katika jimbo la Oregon la Marekani, bila kujua kwamba muda mfupi baadaye msumeno ungechomoka kwa kasi kutoka eneo la ujenzi lililokuwa karibu na maegesho. #bbcswahili #marekani #kamerazausalama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw