Tazama watu wakikimbia na vitu vikianguka wakati tetemeko la ardhi likipiga katika eneo la Tibet huko nchini China.
Waokoaji wanaendelea kutafuta walioathirika na tetemeko hilo huku kukiwa na hofu kwamba halijoto ya usiku inaweza kushuka hadi -18C (17F).
Takriban watu 95 wamethibitishwa kufariki na wengine 130 kujeruhiwa huku zaidi ya majengo 1,000 yameharibiwa.
Tetemeko lilikuwa na ukubwa wa 7.1 na kina cha kilomita 10 (maili sita), kwa mujibu wa data kutoka kituo cha Utafiti wa Jiolojia Marekani.
#bbcswahili #china #tibet
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
21 Mar 2025
- A chief from Wajir County and a Huduma Centre official have been charged at the Milimani Anti-Corruption Court for allegedly tampering with national identity details.
21 Mar 2025
- The Council of Governors (CoG) has threatened to suspend services in county governments within 14 days if allegedly diverted funds to the devolved units are not immediately restored.
21 Mar 2025
- The Court of Appeal has declined to suspend a High Court ruling that declared the Azimio party as the majority in the National Assembly, dealing a blow to Speaker Moses Wetangula’s efforts to overturn the decision.
21 Mar 2025
- The National Treasury Cabinet Secretary has been ordered to submit records of all payments made from the Consolidated Fund to the East African Development Bank (EADB) since 2014.
21 Mar 2025
- The government is facing calls to abandon its ambitious plan to secure thousands of diaspora jobs for Kenyans and instead implement stronger protections against exploitation for those working abroad.
21 Mar 2025
- He played the role of a 'caring neighbor,' offering a helping hand whenever there was a need. He attended a local church, where he discussed his strong Christian beliefs.