Teddy Mwambire na Ken Chonga wawasilishwa mahakamani Mombasa

  • | Citizen TV
    1,633 views

    Mahakama ya Mombasa inaendelea na kikao cha kuamua iwapo spika wa bunge la kaunti ya kilifi Teddy Mwambire na mbunge wa Kilifi Kusini Ken Chonga na wenzao wawili watawachiliwa kwa dhamana au la.