- 444 viewsDuration: 3:44Hasara baada ya mavuno bado ni changamoto kubwa kwa wakulima nchini, ikikadiriwa kuathiri hadi asilimia 40 ya mazao na kupunguza mapato . Katika eneo la North Rift, wakulima wengi wanaendelea kuvuna mahindi, lakini sehemu kubwa huharibiwa na wadudu na uhifadhi duni, huku mvua inayoendelea ikisababisha wengine kuuza mazao kwa bei ya chini kutokana na ukosefu wa maghala bora. hata hivyo, teknolojia mpya ya kuhifadhi nafaka huenda ikageuza taswira.
