Teknolojia ya kufua nguo kwa kuziloweka kwenye beseni na kujisafisha

  • | BBC Swahili
    717 views
    Je unapenda kufua nguo au la? na umeshawahi kutafakari kwamba unaweza ukaziweka nguo zako kwenye beseni na kuziloweka zijifue zenyewe? Hii si mashine ya kufua nguo… Huko nchini Uganda, teknolojia mpya ya kufua nguo kwa kuziloweka kwenye beseni na zinajisafisha zenyewe imekuwa ni teknolojia maarufu sana na inayopendwa na wengi. Mwandishi wa BBC @penda.agnes ametuandalia taarifa hii kutoka jijini Kampala nchini Uganda. 📽️: @frankmavura - #bbswahili #uganda #teknolojia