Teknolojia ya virtual reality yaanza kufundishwa katika shule za msingi Kenya

  • | VOA Swahili
    37 views
    Teknolojia ya Virtual Reality inajulikana kujikita zaidi kwenye michezo ya video lakini kampuni moja nchini Kenya inatumia teknolojia hii kufundisha watoto wa shule katika maeneo ya kipato cha chini. Katika darasa moja jijini Nairobi, wanafunzi wamekuwa wakitumia teknolojia ya Virtual reality kujifunza zaidi kuhusu uchafuzi wa plastiki. #VOASwahili #teknolojia #virtualreality #michezo #video #kenya #watoto #mashuleni Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.