Tembo akatiza barabara za mitaa ya Montana Marekani.

  • | BBC Swahili
    1,589 views
    Tazama kamera za CCTV Zzilivyonasa tukio la tembo huyu anayeitwaye Viola akirandaranda barabarani huko Montan, Marekani kabla ya kuingia kwenye eneo la maegesho ya magari. Picha za CCTV zinamuonesha akipita mbele ya magari kadhaa, na kisha kugeuka huku msimamizi wake akimfuata. Inadaiwa tembo huyo alitembea kwa kwa takriban dakika 10 kabla ya kurejeshwa katika hifadhi. Je ungekutana naye ungefanya nini? #bbcswahili #wanyama #marekani Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw